Friday, July 27, 2012

Expect something new?!

New stuffs are here! DOWNLOAD free ebooks from my blog for free!!!You can also request for a book and you can expect it soon. ENJOY!!

Wednesday, July 18, 2012

Jifunze Javascript

Learn some basics of Javascript programming here and enjoy its power in web technology

Tuesday, July 17, 2012

New Mission, New vision, Same target

Kwa wale wadau wangu wa programming kazi yenu ya blog inaenda vizur sana, baada ya kazi hiyo kuisha mission ifuatayo ni "update reviews"; ambapo kila member atatakiwa kuleta updates kwa ajili ya kuchek mission mpya. Mission hii itasimamiwa na Grayson I know u know what to do.
Huku hilo likiendelea jiandaeni kwa mission nyingine ya Batch file programming ambapo nitamtaka Gerald aisimamie

Xploring tech

Kazi ya kwanza ya kutengeneze hii blog imekamilika kwa mafanikio. Kazi inayofuata ni kuxplore some other technologies. U can suggest for me which tech to tackle>>

Monday, July 16, 2012

Interesting in Hacking?

Hacking ethics, get to know how to behave like a "white hacker". learn here for free!

Salaam kwa wageni

karibuni katika blog yangu mpya kabisa. blog hii inahusu au inawahusu wale wadau wote wa masuala ya teknlojia ya kompyuta katita nyanja za matumizi, ubunifu (designing) na elimu ya teknolojia ya kompyuta. Jisikie huru kuchangia chochote kuhusu teknolojia hii ya kompyuta. KARIBU SANA!! ;-)